Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Safi sana mkuu,yani hadi wale wazee wa kukopi na ku paste wanataman masaa yaende uachie nyingine halafu wa kopi,,na kuweka header kubwa kubwa kwenye blogs na magazeti yao.
kwan mkuu kama the bold asingekopi basi hata wew usingesoma.
 
Hii ni movie aisee nishawahi kuiona weka nyingine tafadhali
 
Reactions: SDG
Mkuu pole sana unajua humu kuna watu wa aina tofauti naomba nimuombee radhi sio busara kutukanana watu wazima jamani af hatufahamiani unaweza kumtusi mkweo humu
 
Inanigomea. Please Pm or Tag. Nakosa operations on time.
Fungua JF kwa browser ukienda kwenye profile yangu utaona kitu kama hiki....

(Mfano hapa nimefungua profile yako ipogolo..)




Tazama hapo nilipozungusha duara... Imeandikwa "Follow"... Bofya hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…