Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Atakuwa anaogopa au information hazipo available, ila mm naijua moja walishawahi kuifanya pale uwanja was ndege was Bujumbula miaka ya 1999 kipindi hicho mtu mmoja anaitwa Mojor Pierry Buyoya alikuwa anatuletea vurugu sana hasa baada ya kupata vindege kadhaa, akawa amevipaki hapo uwanjani, vyote viligeuzwa vyuma chakavu!
Mpaka kesho jamaa hawezi sahau!!
 
Mkuu kumbe hisia zangu zilikua sawa,naamini zipo mission walizofanya zikafanikiwa kama hiyo uloitaja, nimetaman kupata simulizi kidogo kama hutojali nitupie hata PM ili tusiharibu huu uzi. Shukran.
 
Mkuuu nadhani tatizo ni kupatikana kwa hizo taarifa.kama ujua avyo hapa kwetu hata vitu vilivyotokea miaka 30 iliyopita kuvizungumzia inakua muhali.

Kwa wenzetu sio tatizo kabisa.hapa watakuandama hadi ukome.
 
Tuna haki ya kujivunia vyakwetu, watupe hata juu juu tu. Ila kama wataendelea kuweka ngumu nadhani itabidi tusubiri miaka 100 kuja kupata hizo simulizi.
 
$a Xbox scss$$ sac acz
 
Pierre Kurunzinza kurejeshwa madarakani.
 
Mkuu kumbe hisia zangu zilikua sawa,naamini zipo mission walizofanya zikafanikiwa kama hiyo uloitaja, nimetaman kupata simulizi kidogo kama hutojali nitupie hata PM ili tusiharibu huu uzi. Shukran.
Akikutumia ni Pm na mimi choonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…