Open Conference- Waziri, HESLB

Fulugobe

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
21
Reaction score
4
Nilipata tetesi kuwa leo hii kungekuwa na open conference juu ya sakata la HESLB na wale tuliionyimwa mkopo elimu ya juu. Kuna yeyote mwenye taarifa kamili??

Matiku, Mkisyeli tunaomba mtujuze wandugu.
 
kwel wadau naomba mtujuze kilicho tokea maana hali ni mbaya sana
 
Kama wanaharakati tumejitahd kufatilia suala hl tangu mwanzo,kuanzia Bodi ya mikopo,wizara ya elimu,kwa Waziri mkuu,kwa Baba RIZ ila huko kote hatukpata msaada na majibu yenye tija,tumeamua kwenda MAKAO MAKUU CHADEMA,tumekutana na wakubwa akiwemo Mweshimiwa Myika,tumepewa ushauri kuwa jumanne tarehe 15,kamati za bunge zinaanza,tunatakiwa kuwepo pale posta BUNGE DOGO hasubuhi saa tatu tutakutana na WABUNGE wengne ili mchakato huu ujadiliwe kitaifaUpyaa,hvyo kama upo hapa dar au mkoani na kuna mtu anamfahamu tafadhali mwabalishe, tumeambiwa wingi wetu ndo utachangia suala hili kuonekana lina mashiko na kupatiwa suluhsho sio maswala ya KASUNGURA KADOGO. tufahamishane kwa pamoja linawezekana.NAWASILISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…