OPEN COURSES FROM ( YALE, STANFORD, HAVARD,MIT,etc)

NDINDA

Platinum Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
10,572
Reaction score
48,607
Wadau wote wanaopenda kuangalia open courses kutoka vyuo matata huko majuu, katika masomo mbalimbali tunaweza kushare hapa, kuna course kibao na nitakua tayari kukupa link ya course yoyote unayotaka
cheers, kwa wale ambao wako shule na ambao wanataka tu kupanua maarifa, karibuni sana na nawatakia mafanikio , mungu awabariki na muelewe.

Tunaanza na uchumi

game theory

 
GAME THEORY

Ben Polak
OPEN YALE COURSE

[video]http://v.163.com/special/gametheory/[/video]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…