Open letter: The date of UDSM with Mfinanga must go

kaka point yako ya namba tatu ni uwongo sasa hv watu wanakimbiliaa kusoma china na japan

kuna siku nimesikia Sinor professor akilaumu why our student going east for every scholarship!?? wakati kule lugha ya kimombo ni hakuna!???

kasema hataa pale COET watu wamebadilishaa vikao kutoka Eng to swah

and he add up by saying after our generation end, students will be taught using Swahili course our generation is going with what we have -said
 
Kungwi la kitaa limepitia andiko lako na kubaini makosa (angalia kwenye maandishi meusi).
 
Thanks! Let's help academicians be confident and patriotic.
 
Ulivyoandika,kidogo nifikirie Mulamula kafukuzwa kazi,na kwamba Mphinanger ndie replacement.
 
Nitoe kidogo tu, i ndiyo ile ya I au hiyo i ni ya kichuo.
has ni mdogo wake have.
Hebu ulichoandika tukibadili kiwe barua ya kuomba kazi, i graduated at udsm i has two degrees...
Walioomba mikopo baadhi hawakujua date of birth ni nini! Wakajaza kitu kingine.
 
UDSM, Hahaaaa! A failed institution.
-Chancellor -A failed national leader
-VC - A socially failed person
-Now you are saying, The DVC is a committed thief. You are appealing to the Chancellor, a failure. What do you expect?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…