donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Mnakua kwenye mahusiano bali kila mmoja ana uhuru wa kudate watu wengine!!
No...no and NO!!!do u like that?ever been in one?wanna try?
sitaki kabisa ujinga huu, mapenzi hayataniwiMnakua kwenye mahusiano bali kila mmoja ana uhuru wa kudate watu wengine!!
sitaki kabisa ujinga huu, mapenzi hayataniwi
open relationship
ni mahusiano yasiyo na kuchungana
yaani humuulizi mwenzio jana ulikuwa wapi na ulikuwa na nani?????
na hata ukimkuta yupo sehemu na mtu mwingine huulizi unaendelea na zako....
yaani mahusiano yanayo ruhusu mtu kuanzisha uhusiano mwingine bila kuulizwa
ni kama ndoa ambayo watu wameamua kuishi nyumba moja lakini hawachungani
Mi nadhani ni mtu kuwa huru lakini mpo kwenye dating
Mnakua kwenye mahusiano bali kila mmoja ana uhuru wa kudate watu wengine!!
Jamani Jamani
open relationship
sio ku date
bali ni makubaliano ya kufanya
mapenzi nje ya uhusiao wenu
wakati bado uko na mpenzio ..
( nani kwa makubaliano kati yako na mpenzio)
sio ku date ni ajili ya sex tu..