soma definition ya pili we mtoto wa kike....sio ku date...
sio ku date...
Ni kweli kabisa AD....lakini kama nilivyosema hapo juu wengine hunogewa baada ya kuonja asali na kutaka kumiliki rasmi na haya ni maneno ya Wanawake ambao waliwahi kuwemo katika hizi open relationship kwamba wanaume wengi kuanza kutaka kuwamiliki na kusahau kwamba makubaliano yao yalikuwa ni open relationship au ****buddy na kuuliza maswali ambayo hawakustahili kuyauliza au kuja juu pale wanapomtafuta mtu hawampati au kumuona yuko na njemba nyingine. Nadhani pia wapo ambao wanaziweza hizi relationship za namna hii lakini kusema kweli yahitaji moyo mkubwa.
http://www.urbandictionary.com/iphone/#define?term=open relationshipsoma definition ya pili we mtoto wa kike....
Alafu wewe...........nwy ngoja nilale!!!nimesoma we mtoto wa kiume..
Alafu wewe...........nwy ngoja nilale!!!
Nadhani wewe ndo hukufikia makubaliano!Ilikua ukimaliza kuota uje uchukue ....nikasubiria weeee mpaka nikapokonywa na mbwa!wala hata sikutaki tena jana umeniahidi maini ukanipa ngozi
Nadhani wewe ndo hukufikia makubaliano!Ilikua ukimaliza kuota uje uchukue ....nikasubiria weeee mpaka nikapokonywa na mbwa!
Weee ulimuota nani!??Nwy naona hauko kwenye daladala ushapanda taxi kwahiyo mwambie driver awe amekufikisha hapa baada ya dakika kama tano hivi....ill be waiting!sasa nipe muda tena basi ..Nilikuwa namuota fulani wa hapa JFsi wajua tena lazima ujilazimishe kufunga macho kwa ndoto tamu kama hiyoo..mmmmmmhhhh
Weee ulimuota nani!??Nwy naona hauko kwenye daladala ushapanda taxi kwahiyo mwambie driver awe amekufikisha hapa baada ya dakika kama tano hivi....i‘ll be waiting!
Hata chooni siendi...ready when you are!!!ntakwambia tukikutaana..haya basi see you soon...hakikisha hauondoki home..nakuja
Hata chooni siendi...ready when you are!!!
Yani wewe...yalla yalla!ok give me 30mnts..
Hii sasa kwa hapa kwetu bongo haifanywi? Au inafanywa kwa siri? Mi kuna mtu mmoja tena ameoa na lipete likubwaa mkononi, kanitokea nkamuliya naona umevaa pete kwani huyo mwenye hiyo pete hakutoshi? Akanijibu hanitoshi, na akaendelea kuniambia usidanganyike kwamba mwanaume anatosheka na mke aliye nao. Kwa hiyo na cc wanawake tusiridhike na ninyi basi? Tuondoe tu hizi kingo. Open...
DaaahhhbMi nilidhani friends with benefit inatumika kwa ambao hawako kwenyeRelation...Watu wengi hawajui maana ya open relationship, kwenye Facebook ndio usiseme kwasababu watu anajiandikia tu hiyo status but kiukweli huku kwetu bongo ni ngumu sana, mara nyingi watu wanaanza kuwa possesive na wivu unakuwa kwa sana, hapo ndio matatizo yanapoanzia. wengine wanaiita friends with benefit au no string attached
Open relationship in a simple word mean SINGLE or without GF/BF.. Huyo msichana nadhani hiyo open relationship yake alimaanisha Normal relationship or friendship relation.Hello Guys, How is your weekend? hope mpo poa kabisa. My Question is hivi ni nini maana ya open relationship and does it real work? kuna Rafiki yanguu alimuaproach msichana yule msichana akasema kama anamtaka basi wawe katika open relationship