One and Only
Senior Member
- Mar 7, 2011
- 161
- 62
ni kweli mara nyingi friends with benefit inakuwakwa wau ambao hawako kwenye relation but features zako ni sawa tu na zile za open reletionshipDaaahhhbMi nilidhani friends with benefit inatumika kwa ambao hawako kwenyeRelation...
sio ku date...
open relationship
ni mahusiano yasiyo na kuchungana
yaani humuulizi mwenzio jana ulikuwa wapi na ulikuwa na nani?????
na hata ukimkuta yupo sehemu na mtu mwingine huulizi unaendelea na zako....
yaani mahusiano yanayo ruhusu mtu kuanzisha uhusiano mwingine bila kuulizwa
ni kama ndoa ambayo watu wameamua kuishi nyumba moja lakini hawachungani
Jamani Jamani
open relationship
sio ku date
bali ni makubaliano ya kufanya
mapenzi nje ya uhusiao wenu
wakati bado uko na mpenzio ..
( nani kwa makubaliano kati yako na mpenzio)
sio ku date ni ajili ya sex tu..i
JNi kweli kabisa AD....lakini kama nilivyosema hapo juu wengine hunogewa baada ya kuonja asali na kutaka kumiliki rasmi na haya ni maneno ya Wanawake ambao waliwahi kuwemo katika hizi open relationship kwamba wanaume wengi kuanza kutaka kuwamiliki na kusahau kwamba makubaliano yao yalikuwa ni open relationship au ****buddy na kuuliza maswali ambayo hawakustahili kuyauliza au kuja juu pale wanapomtafuta mtu hawampati au kumuona yuko na njemba nyingine. Nadhani pia wapo ambao wanaziweza hizi relationship za namna hii lakini kusema kweli yahitaji moyo mkubwa. i
JWatu wengi hawajui maana ya open relationship, kwenye Facebook ndio usiseme kwasababu watu anajiandikia tu hiyo status but kiukweli huku kwetu bongo ni ngumu sana, mara nyingi watu wanaanza kuwa possesive na wivu unakuwa kwa sana, hapo ndio matatizo yanapoanzia. wengine wanaiita friends with benefit au no string attached.i