Open relationships....do they work?

Mnataka kuiga mizungu? hehehe zungu samtaimu linakupigia sim ukajivinjari na waifu wake halaf yeye linakaa kwenye kiti linakuangalia, yaani hii mijitu iko beyond repair kabisa. hii open relationship ni chamtoto tu.
My take: Mimi ya kwangu ni vere closed relationship, ukismile na waifu tu nakufanya ile kitu mbaya dentist anafanya.
 
Open relationship oyee! Miafrika ikiapply hii,kizungumkuti kama Mount Kilimanjaro!
 
kunahaja sasa kwa wapenzi kuwa na uhusiano wa wazi maana yake kila mtu awe free kuwa na mtu mwengine ila awe na nidham kwa mwenzi wake wa kudum akihitajika basi awajibike ipasavyo nadhani itapunguza ukali wa wivu wa kijinga katika mahusiano kwa asilimia 70 je unafikiri itasaidia?
 

Kwa wapenzi haifai na wala haiwezi kuwa lakini kwa wabia wa ngono hilo ni zuri sana kwani kila mtu atakuwa mshiriki mzuri wa kuleteana maradhi.
 
Huko nje utakuwa unatafuta nini? huku tuendako sasa?
 
kawaida tuu maana mapenzi yenyewe yamejaa usanii ata sasa....so mie naona poa tuu atleast hapo mtu anakuwa ana make an informed decision
 
Duuh mambo ya wazungu hayo. Open relationship huwa yanakubalika ikiwa one of the partner has other interest ie lesbian or sissy husband.

Kama nyie nyote kamili, inahaja gani.
 

Hebu fikiria, wewe unampenz wako, wewe unamtu wa pemben na mpenzio anae wa pembeni. Hao wapemben wana wapenzi wao nao wanao wapembeni vivo hivyo nao wanao wapenz wao.
Unadhan mtakuwa mnatengeneza bomu gani hapo...

Chukua tahadhari mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…