Open relationships....do they work?

Kitu cha open relationship..wabongo tufikie huku kweli jmn!!!!!

Nashangaaa............sijui ndio zama za sayansi na teknolojia? Sijui haja nini hasa? sasa huyo uliyenae atakuwa na umuhimu na maana gani?
 
Duuh mambo ya wazungu hayo. Open relationship huwa yanakubalika ikiwa one of the partner has other interest ie lesbian or sissy husband.

Kama nyie nyote kamili, inahaja gani.

Kweli Madame labda uwe na uhusiano na dume bwabwa lisilogonga kabla halijagongwa au mwanamke anayependa kunywa maji ya utoko.
 
Huko nje utakuwa unatafuta nini? huku tuendako sasa?

Taratibu mpenzi....

Huyu jamaa kajiunga leo na kuja na hii makitu??? Hebu mwambie kwanza atupe ID yake ya zamani.

jembe bonaventure

Yesterday 23:35
#1
Junior MemberArray

Join Date : 26th June 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
kawaida tuu maana mapenzi yenyewe yamejaa usanii ata sasa....so mie naona poa tuu atleast hapo mtu anakuwa ana make an informed decision

Huoni kama huu mtandao mwisho wa siku utaleta maambukizi ya UKIMWI...Hivi ushawahi kuwa na mgonjwa wa hii kitu halafu ni mtu wako wa karibu..jamani acheni hii kitu haifai kabisaa..
 
Nashangaaa............sijui ndio zama za sayansi na teknolojia? Sijui haja nini hasa? sasa huyo uliyenae atakuwa na umuhimu na maana gani?

Kwani kila kitu mpaka tuige wazungu jaman dah..tutakufa kibudu...
 
Technically Yes..n reality NO if you really love ur partner!!
 
Hebu fikiria, wewe unampenz wako, wewe unamtu wa pemben na mpenzio anae wa pembeni. Hao wapemben wana wapenzi wao nao wanao wapembeni vivo hivyo nao wanao wapenz wao.
Unadhan mtakuwa mnatengeneza bomu gani hapo...

Chukua tahadhari mapema.

Watu hawafikirii hili...haya..
 
Hebu fikiria, wewe unampenz wako, wewe unamtu wa pemben na mpenzio anae wa pembeni. Hao wapemben wana wapenzi wao nao wanao wapembeni vivo hivyo nao wanao wapenz wao.
Unadhan mtakuwa mnatengeneza bomu gani hapo...

Chukua tahadhari mapema.

kama TV ingekuwa karibu tungeweka lile tangazo la mtandao wa ngono muhulize mwenzako mpo wangapi? Like yangu unayo
 
Mmmh, na UKIMWI huu? yatabaki majumba wazi
 
muslim people shud practise this,the current system inayoallow mwanaume kuwa hadi na wake wanne,while mwanamke none,is unfair to ladies....:dance::dance:
 
Mi nauliza tu, kule facebook naonaga watu wengi kwenye status zao wamejaza wapo kwenye An open relationship!....ndio hii hii imnayoiongelea hapa au nimepotea njia?
 
Huoni kama huu mtandao mwisho wa siku utaleta maambukizi ya UKIMWI...Hivi ushawahi kuwa na mgonjwa wa hii kitu halafu ni mtu wako wa karibu..jamani acheni hii kitu haifai kabisaa..

well nikwambie kitu kimoja kwa haraka haraka itaonekana kuwa hii italeta maambukizi mengi ya ukimwi ila ukweli ni kwamba itapunguza. kulinga na stats inaonekana kuwa maambukizo mengi utokea kati ya wanandoa na bf/gf relationships. actually statistically ur are less likely kupata ngoma kutoka kwa malaya than ur wife/husband or gf/bf. hivyo basi mkiwa na open relationship kila mtuu atakuwa anajua kabisa kuwa huyu mwezangu anagawa kwa wengine hivyo full kijikinga. naamini utakubaliana na mie kuwa wengi waliokuwa kwenye mahusiano ya bf/gf mwishio wanakulana peku lakini hilo huwezi fanya kwa malaya au mwanamke/mwanamume yeyote yule ambaye una uhakika kuwa anatoa utamu nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…