Open university interview

mwaipembe

Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
93
Reaction score
23
wana jf naomba kujuzwa kama open university waliishaita watu kwenye interview.pia mwenye dondoo kuhusu hizi nafasi tulizoziomba tupeane taarifa.kazi njema wakuu
 
Walishaita. Leo hii ndo kulikuwa na interview ya kundi la mwisho kabisa. Nyingine zilishafanywa kitambo.
 
wana jf naomba kujuzwa kama open university waliishaita watu kwenye interview.pia mwenye dondoo kuhusu hizi nafasi tulizoziomba tupeane taarifa.kazi njema wakuu
Kwani kwenye tangazo la kazi hawakuandika kuwa ukiona hadi tarehe hii imepita haujaitwa "consider yourself unsuccessfully applicant"?Au nyie ndo wale mnaoletewa kazi nyumbani??Kama uliletewa hii kazi nyumbani, It is very simple, muulize alokuletea hiyo kazi. Otherwise, wasiliana na ofisi ya utawala OUT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…