Open University ndio Vyuo gani?

jamal omary

New Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
4
Reaction score
0
wakuu mimi nashida ya kufahamu kuhusiana na open university ndiyo vyuo gani hivyo?
 
wakuu mimi nashida ya kufahamu kuhusiana na open university ndiyo vyuo gani hivyo?


Kama upo serious basi hauna umakini katika maisha yako,na kama upo makini basi una dharau iliyo pitiliza...
 
Ni vyuo vikuu huria
Ambavyo havilazimishi kuacha yale majukumu
yao mengine.
Mfano mwajiriwa utasoma huku unakwenda
kazini kwako. Km ujuavyo vyuo vingine
humtaka mtu aishi palepale mpaka amalizapo
masomo yake
 
Open ni Chuo chenye hadhi km vingine
unavyodhania labda ni bora zaidi.
 
Huyu ndugu ana swali la msingi sana ila watu wamemuelewa vibaya tu.

Mkuu ninachojua open university ni chuo kikuu kama vingine ila tofauti na vyuo vingine ni hizi hapa

(a) Kwanza lecturers mnatafuta nyie wanafunzi, mnajioganize wanafunzi wa hiyo program na kumtafuta huyo mwalimu,
pesa mnamlipa nyie,chuo hakihusiki.Huyo lecture anaweza akawa hata na degree moja

(b)Kuna maximum year ya kusoma kwa kila program, kwa mfano kama program ni ya miaka 3, unaweza soma hadi miaka 7

(c) Hakuna vipindi vya kuhudhuria darasani,unaweza ukajisome mwenyewe tu na wala hutauliza na chuo
 
wakuu mimi nashida ya kufahamu kuhusiana na open university ndiyo vyuo gani hivyo?
nenda segerea kuna mfungwa anaitwa Haruna Gombele anafanya master ya LLM(sheria)atakuelekeza maana yeye kasoma na anasoma hapo!acha dharau unakuwa kama buku 7
 
Sio vizuri kumshambulia hvyo jaman. labda ajui kwel mwenzenu, si mnaona sasa amekimbia mtoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…