Open University ni chuo bora kwa masuala ya ICT?

Albert maleko Jacks

New Member
Joined
Jul 3, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Natamani kujua kuhusu open university ni chuo bora kwa kusoma natamani nikasomee hapo maswala ya ICT?

Lakini pia natamani kujua kuhusu course ya ICT soko lake la kuweza kuajiriwa na kujiajiri lina upana kiasi gani?

Na mwisho natamani kujua kama mtu alikuwa anasoma degree then akaamuwa tu kuondoka chuo pasipo postpone anaweza kurudi kusoma diploma bila kipingamizi cha TCU sbb anasoma bado kwenye mfumo wa chuo husika alichokuwa mwanzo?
 
Kwakweli kwenye hili sito comment lolote , wazoefu na wataalam wanakuja
 
Back
Top Bottom