Open university of Tanzania:1st year student wanaosoma economics

Open university of Tanzania:1st year student wanaosoma economics

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
610
habari,mm ni mwanafunzi wa OUT nasoma BA economics kinondoni centre mwaka wa kwanza,kwa yeyote anayesoma uchumi mwaka wa kwanza kinondoni au anapendelea kujisomea hata pale makao makuu naomba sana ani PM na ikiwezekana aniachie namba ya cm kwenye inbox yangu,

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom