Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Hamna elimu hapo,wengne huwa wanazamia mapindi udsm.
Tanzania sio ya kwanza kuwa na Open university. kama unapinga kuwepo kweke na credibility ya wanafunzi basi hujui maana ya open university. Tuachie hapo
Huyu Senetor mpaka leo hajui maana ya Open University?? kweli wasomi hatuna humu JF.
- :shock:
hamna elimu hapo,wengne huwa wanazamia mapindi udsm.
senator,
ebu acha utani, una uhakika na hili?
jamani mimi nimependa kueleweshwa kwa anayefahamu maana ya open basi anipe maelezo kuhusu hiki chuo...
mmmmmm........
OUT- LESS COMPETENCE
Boss wangu kasoma hapo, kazi kuanzisha migogoro kazini.
CHUO OVYOOOOOOOOO