Open university of tanzania

Open university of tanzania

sgl94

Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
12
Reaction score
0
jamaa yangu yupo jeshi leo kanipigia simu nichek profile yake wamemchagulia chuo cha open unversity (bachelor of education with science) na nimeambiwa hicho chuo ni special kwa watu wanaojiendeleza tu ni kweli ? kama ni kweli haiwezekani akasoma hapo naomba kufahamishwa ni second round so ndo chuo hicho hicho alichochagua
 
ni chuo kama vyuo vingine tofauti ni usomaji, huendi kuonana na mhadhiri kila mara, muda mwingi utasoma mwenyewe, unapewa kazi unafanya kwa muda wako
 
Namshauri asisome hiyo abadili faculty kama hayuko dar maana practical za science zinafanyika dar masomo kawaida unapewa vitabu kulingana na unit utakazochukua!so kama unataka lecturer hizo n gharama nyingine mbali na ada,kwa ujumla ni ngumu na ukizubaa unapiga kitabu miaka sita ndio unadegree,mm nilianza open last year bachelor of science with education ili nisome huku niko kazn ila nikashindwa kwanza sababu ya ofc kuninyima ruhusa ya kwenda dar na pili gharama za malaz na chakula nikiwa dar ikawa ngumu kwangu nikaamua kupostpone mwaka ili hela ikae pending nitakuja isomea nikichukua masters,nililipa 750,000 kwenye fee na hapo nilichukua unit 4 bios,2 chemistry na education 2 niliacha zaidi ya unit 7 ambazo nitatakiwa nilitakiwa nije kuzsoma mwaka wa pili ilhal hapo za 2nd ckujua kama nyingi au chache inamaana kama nyingi ningeacha tena ndipo hapo unakuta umesoma miaka sita,kama anataka asome kwa wepesi namshaur akifika chuo abadili achukue kozi zczo na practicals au kama ataendelea na zenye practical aandae mshiko mrefu ili achukue kozi zote kwa kila mwaka atafanikiwa within three years,ni ushauri tu
 
Namshauri asisome hiyo abadili faculty kama hayuko dar maana practical za science zinafanyika dar masomo kawaida unapewa vitabu kulingana na unit utakazochukua!so kama unataka lecturer hizo n gharama nyingine mbali na ada,kwa ujumla ni ngumu na ukizubaa unapiga kitabu miaka sita ndio unadegree,mm nilianza open last year bachelor of science with education ili nisome huku niko kazn ila nikashindwa kwanza sababu ya ofc kuninyima ruhusa ya kwenda dar na pili gharama za malaz na chakula nashukuru kwa taarifa
 
Back
Top Bottom