Open University of Tanzania

NGASEKU MDOGO

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
50
Reaction score
10
Ndugu zangu naomba mwenye kujua anisaidie kuhusu ada ya post graduate diploma ya education Open na kama wameanza udahili pia na courses za kusoma kwa mtu Wa BA Economics.
 
ndugu ngasengu, ada ya pgde ni tsh 1.8 milion hadi unamaliza (mihula miwili). kozi inaanza mwisho wa mwezi wa tisa. muda wa kuomba uliisha may 30. mimi mwenyewe niliomba kuwa admitted na nishajibiwa na kukubali maombi yangu ya kujiunga na pgde mwaka huu wa masomo wa 2014/15.
 
Sure muda umeisha? Mimi nilikuwa nataka kuomba MPM mwezi wa saba, huwa hawana ile window ya penalty?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…