Open University of Tanzania

beniko

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
94
Reaction score
9
Je, bachelor of science with education open university ntapata mkopo kweli maana ndo nimechaguliwa hiko chuo wakuu
 
jamani kuna mdogo wangu amechaguliwa hapo ipen university lkn watu wanaswlema ni chuo kibaya sana eti ni cha watu wazima nifanyaje ili nimbadilishie hiki chuo
 
jamani kuna mdogo wangu amechaguliwa hapo ipen university lkn watu wanaswlema ni chuo kibaya sana eti ni cha watu wazima nifanyaje ili nimbadilishie hiki chuo

OUT ni chuo kama vyuo vingine na sio cha wazee tu, siku hizi vijana wengi tu wanasoma OUT.

Changamoto kubwa ya OUT ni uhuru wa mwanafunzi hivyo kama hajitambui na hana nidhamu ya kutumia muda,chuo kitamshinda. Uzuri wake ni gharama zao, ni nafuu mno!
 
Hivi siku hizi hta mtu akitaka kuomba CBE,TIA Sijui IFM lazima apitie TCU?
 
jamani kuna mdogo wangu amechaguliwa hapo ipen university lkn watu wanaswlema ni chuo kibaya sana eti ni cha watu wazima nifanyaje ili nimbadilishie hiki chuo

chuo ni kizuri sana kuna aina tofauti za ufundishaji wale wa mbali wanaojitegemea, wanaongia usiku na hao wakawaida etc.

kuhusu watu wazima mi nadhan wanafunzi wote vyuo vikuu ni watu wazima zaidi ya apo wengi wapo kwenye program za usiku na distance learning!

Kwahiyo asiwe na shaka mwache dogo asome tena akipata cha dsm mambo ndo superB.
 
Usipokuwa makini open mtu unaweza ukasota had miaka mi 5 b.a badala ya 3 ya kawaida ..
Lazma uwe serious sana pale ..

Hee!! Unaogopa kuwa serious na shule?? Unataka upate/apate elimu ya magumashi siyo??
 
Lakn waheshimiwa pale open watu wanapata mikopo kama vyuo vingine au? kwamaana hata sielewi kitu na nimechaguliwa pale
 
Pia kuna watu wanasema eti mwanafunz ndo unawajibu wa kumtafuta lecturer ina maana kwenye icho chuo malecturer hamna?
 
samahani c out ni open university...amechaguliwa hapo lkn nataka nimbadilishe nimpele chuo kingine naomba mnisaidie nitumie njia zipi
 
ikiwa mtu amechaguliwa open university ila bado hajalipot je anaweza kukancell na akaenda chuo kingine?? ni hatua zipi afanye naomba msaada wako
 
nashkur kwa maelezo mazur..ila yy amechaguliwa science with education baada ya kukosa md vyuo vingine....iyo koz inachukua muda gani hapo open
 
hivi ni kweli iyo koz inachukua miaka 8? maana mdogo wangu amechaguliwa hapo..
 
samahani VVM me nlichagua hcho chuo cha open university but had sa hv sijui kama nimechaguliwa au laa..je unaweza niambia ntajuaje kama nimechaguliwa hko?
 
jamani kuna mdogo wangu amechaguliwa hapo ipen university lkn watu wanaswlema ni chuo kibaya sana eti ni cha watu wazima nifanyaje ili nimbadilishie hiki chuo

siku hizi uzee maneno maneno ninamiaka 20 napiga pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…