Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
habari za asubuhi wanajanvi? Natumaini hamjambo na mnaendelea na kulisukuma gururdumu la maendeleo.....jamani naomba kujulishwa ni lini selection ya open university of tanzania kwa masters 2011/2012 intake itafanyika?
batch one imeshatoka na imesambazwa kwenye vituo vyote nchini. Plz tembelea centre yeyote ya open university watakuonyesha.
Why not ma blood.itafanyika tu kwani we unanyepesi ulizopata mpaka unahisi haito fanyika hiyo selection ya ou
Hazole, are sure kuwa batch one imetoka? Mbona kuna watu hata tangazo la kuapply hatujaliona na tunasubiri kwa hamu? Nipe details zaidi mkuu.