Salam kwenu wakuu,
Ni msichana, alimaliza form 6 2010 combination ya CBG. Matokeo yake hayakuwa mazuri, alipata Div 4 ya 18 ( masomo yote alipata S). Anataka kujiunga na elimu ya juu (degree) lakini part time.
Je, anaweza kupata admission Open University? Gharama zao vipi?
Nawasilisha.