Open university.

ladytk

Senior Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
163
Reaction score
45
tafadhari jaman naomba mnijuze utaratibu wa kusoma open university degree ya pili na Ada yake ni kiasi gani na unasoma kwa muda gani.
 
Ingia kwenye website yao utapata kila kitu
 
tafadhari jaman naomba mnijuze utaratibu wa kusoma open university degree ya pili na Ada yake ni kiasi gani na unasoma kwa muda gani.
DEGREE YA PILI KWA MAANA YA MASTERS NI TZS 3,600,000 ADA YAKE. UNASOMA MIAKA MIWILI LAKINI UMEPEWA MIAKA MITANO KUHAKIKISHA UMEMALIZA HIYO MASTERS YAKO. KWA MAELEZO ZAID INGIA www.out.ac.tz utapata habari nyingi zaidi. maombi ni wakati wowote
 
Ahsanteni jamani mungu awabariki.
 
DEGREE YA PILI KWA MAANA YA MASTERS NI TZS 3,600,000 ADA YAKE. UNASOMA MIAKA MIWILI LAKINI UMEPEWA MIAKA MITANO KUHAKIKISHA UMEMALIZA HIYO MASTERS YAKO. KWA MAELEZO ZAID INGIA www.out.ac.tz utapata habari nyingi zaidi. maombi ni wakati wowote

.
Mkuu kwa mfano ulifaulu mizuli degree lakini Ada haukumalizia!
.
Na cheti haukupewa bila kumalizia ada!
Hivi cheti kinaweza kukaa mpaka miaka mingapi?
.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…