OPENING:1st YEAR SUFFERING UNIVERSITY OF ANTISPICES[SUA]

umevamia treni kwa mbele ww.mi nimeandika hivyo kutokana na title ya mtoa mada au na hii thread ulianzisha post yandu wala haikuhusu ww kwani ww unaingia mwaka wa kwanza?SI UMESEMA UNAINGIA MWAKA WA PILI AEA? acha hizo ww soma vzuri kabla ya kuposti

boya ww nani anaingia mwaka wa pili AEA......jombaaaaa angalia mana nilishajitayarisha kuyaporomosha..........
 
bro thesym mimi ndo niliesema naingia mwaka wa pili AEA na sijam2kana m2 yeyote kwan sidhan kama ni ustaarabu..na pia msiwe mnapenda ku2kanana humu jf kwan wa2 wakiona watajua ni sehemu ya wahuni..jibizaneni kwa hoja sio ma2si ndugu zangu..
 
wewe NAAMINI mimi ndo nakupa taarifa sahihi ambayo hata baadae ndo utakayo kuja kuipata..vichwa 4 vimeliwa kwa mwaka wa pili wanaingia mwaka wa 3 na sio mwakatwa kwanza wanaoingia mwaka wa pili..hivyo aliekupa taarifa kakosea labda alidhan mwaka wa kwanza..hope umenielewa..
 
Inshort unaruhusiwakulipa nusu katika ada ambayo ni laki sita n point zake na pia ulipe 158,000 kwa ajili ya direct cost inyoinclude registration, medical, exams fee tec, na medical ni 60,000/= sio laki n unalipa yote hata kama unabima, na hostel ni 79,000/= na sio 78,000/= usipolipa hostel hupewi rum and wahini jamani nafsi za rumni chahce coz kuna wa certificate na diploma wanakujan wanapewa rum so rum zimebaki chache.
 

na ww ni boya na mbishi kwanza ww ulikuwepo kipindi cha prob? Ss wenzako walitoa jamvi la 1st yr wanaoingia sec yr...ss vichwa 4 vimeliwa...ucwe mbishi kama mfupa wa kale...."NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…