Opera wameweka "Aria browser AI bot" kwenye opera browser kwa ajili ya chatting

Opera wameweka "Aria browser AI bot" kwenye opera browser kwa ajili ya chatting

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,813
Reaction score
1,827
Watumiaji wa opera browser mnaarifiwa kuwa opera wameongeza Aria browser AI bot kwa ajili ya kuchat na wewe. Unauliza swali unapewa majibu. Ni kama ChatGPT lakini yenyewe haihitaji kulipiwa.

Sijui kama ina uwezo kama ChatGPT labda muda utasema.

Download update toka playstore halafu ukifungua opera browser click chini kulia kwenye avatar. Utaiona pale na kuanza kuchat.
 
Waliweka tangu zamani sana, Nilijua kupitia video moja ya Mr Whosetheboss
Nimeitumia hadi nimechoka
 
Back
Top Bottom