Kuna kitu kinanitatiza, hivi mtu akifanyiwa operation ya kujifungua anatakiwa akae muda gani aweze kufanya mazoezi yaani kwenda Gym! kuna wanaosema miezi 6, wengine mwaka.

Napenda nijue mwenzenu.Asanteni
jiangalie mwenyewe, unausikiaje mwili wako? wengine baada ya wiki 6 eanaweza fanya light exercise kama walking. cha muhimu utakapoamua kuanza, anza polepole do not overdo it.