stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu.
Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu wa mbunge aliyehoji Kampuni isiyoweza kukopesheka hata mkopo wa million 5 kupewa kibali cha kuagiza bidhaa ya billion 5, acha kukopesheka tu no one can ensure such company.
It is the shame to our country and men/women kuona nchi inakosa watu wa kujadili mambo ya msingi ya kesho ya nchi yetu inaenda kujadili namna ya kulinda rushwa, it the shame beyond comprehension, Wantanzania wamesikia wabunge walivyosema, waliyojadili siku hawa wabunge watakapo pata ajali au maradhi wananchi hawatawasaidia kwa matendo kama Haya.
Natoa rai kwa Vyama vya upinzani there is no prime time to strike the vital points of your enemies than now, hakuna haja ya Kuchangia gari la Lissu, just mobilize your men/women kusimama vituo vya kura na kuzingira nyumba za wagombea wa CCM(They are also made with blood and fresh) Kwa siku zote za Uchaguzi.
Jimbo la Sugu kurudi kulichukua kutoka kwa Tulia ni 100%, Sugu popote alipo aanze Kampeni leo, Anashinda saa 4 asubuhi.
Ni wakati wa kuondoa wabunge wote walioko kwenye payroll ya Mafisadi, Samia amechukua miaka 3 tu kuiua CCM, Kama Hakutakuwa na mabadiliko makubwa ya Kisiaka kati ya 2024 na 2027, hakuna shaka Tanzania itashuhudia Mapinduzi ya kwanza ya Kijeshi/Kiraia. Viongozi hawawezi kutegemea Chawa wawe wanaficha failures zao kila siku.
Vyama vya siasa anzeni kuchagua/kuandaa wagombe ubunge sasa, na kuchangisha pesa za Kampeni mapema, hadi sasa kuna kura zaidi ya 20% ziko kwenu, you need to push for more.
PIA SOMA
- News Alert: - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15