Operation ya kukamata magari

Kyoombe

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
1,205
Reaction score
781
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke leo inaendesha zoezi la kionevu kwa wenye magari yanayopaki hata kwenye maeneo ya maduka Temeke, Tandika, Mbagala nk. Faini 50000/= na 50000/= kutoa gari yard. Uonevu mtupu. Parking hawana. Dhuluma tu.
 
kama una bastola piga wawili tu inatosha lazima wasitishe hilo zoezi mavi lao..
 
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke leo inaendesha zoezi la kionevu kwa wenye magari yanayopaki hata kwenye maeneo ya maduka Temeke, Tandika, Mbagala nk. Faini 50000/= na 50000/= kutoa gari yard. Uonevu mtupu. Parking hawana. Dhuluma tu.
 
walikuwa watutahadharishe mwanzo kabla ya kusmamia zoezi hilo,huo vile vile ni mradi wa kuingiza pesa,na si zoezi la safisha mji!
 
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke leo inaendesha zoezi la kionevu kwa wenye magari yanayopaki hata kwenye maeneo ya maduka Temeke, Tandika, Mbagala nk. Faini 50000/= na 50000/= kutoa gari yard. Uonevu mtupu. Parking hawana. Dhuluma tu.
 
Ina maana wanayabeba hayo magari!!, mbona hiyo ilishakatazwa siku nyingi.
 
sisi A-town hatuna hao wapuuzi tena mkuu,tuliwaletea noma mpaka wamekoma....watu wanaona unapark wananyamaza kimya then after wanafunga mnyororo! hakuna kibao cha no parking wala nini...
 
Ni uhuni tu kwa kwenda mbele ktk inchi hiii!
 
mbona sijaielewa hii bahar? Kichwa habar tofaut, ukiifungua ni nyingine. Au wana jf mnaipataje nyie?
 
Yaani hata mm nimeshangazwa na jinsi title ilivyo tofauti na maelezo(habari)
 
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke leo inaendesha zoezi la kionevu kwa wenye magari yanayopaki hata kwenye maeneo ya maduka Temeke, Tandika, Mbagala nk. Faini 50000/= na 50000/= kutoa gari yard. Uonevu mtupu. Parking hawana. Dhuluma tu.

Sasa hizi post 2 za mwisho kitu kilekile unaongeza idadi ya post ama!? Tushakusoma, usizidi kutuchosha mkuu...!!!
 
Yaani hata mm nimeshangazwa na jinsi title ilivyo tofauti na maelezo(habari)

Ni kukamata siyo kukata wakuu, af we kikombe sijui usijifanye hujaliona hilo, em edit threa yako unawachanganya maGT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…