Operation za Vifua Bandia kama ndo ivi Bora flat screen

Operation za Vifua Bandia kama ndo ivi Bora flat screen

TONY LEE

Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
5
Reaction score
4
walianza dada zetu kufanya operation za makalio, ikiaminika uzuri sio sura uzuri makalio. sasa na akinababa limehamia kwetu tumeona nondo kunyanyua zimekua nzito bora operation ya vifua Bandia.

=========================================

 
Back
Top Bottom