TONY LEE Member Joined Jan 20, 2017 Posts 5 Reaction score 4 Jan 23, 2017 #1 walianza dada zetu kufanya operation za makalio, ikiaminika uzuri sio sura uzuri makalio. sasa na akinababa limehamia kwetu tumeona nondo kunyanyua zimekua nzito bora operation ya vifua Bandia. =========================================
walianza dada zetu kufanya operation za makalio, ikiaminika uzuri sio sura uzuri makalio. sasa na akinababa limehamia kwetu tumeona nondo kunyanyua zimekua nzito bora operation ya vifua Bandia. =========================================
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Jan 23, 2017 #2 Vifua vya kichina