ThinkingAloud
New Member
- Nov 15, 2021
- 3
- 1
Asage na bado aende akauze kwa wateja😇😇😇Natafuta operator wa mashine ya kukoboa mahindi na kusaga unga. Ina uwezo wa kusaga tani kumi kwa siku. Awe na uwezo wa kufanya mauzo kwa kupeleka kwa wateja.
Niko Dar es Salaam, Mbagala.
mimi hapa naweza ni cheki no 0656278293Asage na bado aende akauze kwa wateja[emoji56][emoji56][emoji56]
Natafuta operator wa mashine ya kukoboa mahindi na kusaga unga. Ina uwezo wa kusaga tani kumi kwa siku. Awe na uwezo wa kufanya mauzo kwa kupeleka kwa wateja.
Niko Dar es Salaam, Mbagala.