Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
Habarini wapendwa? Mimi ni operator wa excavator pia ni fundi nimefanya kazi kama msaidizi wa operator kwa miaka 3. Nipo tayari kufanyiwa majaribio hadi ndio niajiliwe au nikabiziwe kazi .
Labda unaweza kujiuliza kwanini nimefanya kazi kama msaidizi wa operator kwa mda wote huo?
jibu nikwamba sina leseni wala cheti cha veta ila naamini kupitia uwezo wangu.
ndoto zangu bado nikwenda kusomea ili kuweza kupata cheti na leseni ila kutokana na garama zake kuwa juu nimeshindwa kuzikabili.
Nipo tayar kufanya kazi mkoa wowote na mahali popote.
imani yangu humu kuna watu tofauti hasa site ingineer pia kuna wakandarasi tafadhalini naombani msaada wenu.
napatika kwa namba 0688501810