Operator

Zingukia maeneo ya migodi huko geita, backreef, nyanzaga, maeneo ya miradi inayojengwa madaraja, hasa kwa wachina wale jamaa ukishika machine wakaona unajua na wana uhitaji unachukuliwa.....ila ndo ukaze roho wachina wajanja wajanja kwenye malipo na mikataba ya kueleweka hawatoi....lakink from there mambo yataanza kufunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…