Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu kituo kinachofuata ni Kanda ya Nyasa, Iringa tumejipanga Vizuri!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema akimaliza mkoa wa Mara kituo kinachofuata ni Kanda ya Nyasa na wataanzia Mbeya kwa Wakili Msomi Mwabukusi kisha wataendelea Songwe kwa mh Mdude, Rukwa, Katavi na kumalizia pale alipotandikwa Mjerumani yaani Iringa kwa Chifu Mkwawa

Sisi Wanyalu tunawakaribisha sana

Ahsanteni 😀😀🔥🌟🐼
 
Peoplesssssssssssss
 
Back
Top Bottom