Operesheni ELIMISHA na AMSHA CHADEMA Tanzania!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
1,770
Reaction score
5,423
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.

Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima!

Mimi nadhani kwa sasa operesheni kubwa inayohitajika ni ya kuielimisha na kuiamusha CHADEMA kutoka katika usingizi wa pono kwamba kimepoteza uhalali ( credibility ) ya kuwa chama tegemeo cha upinzani chenye kuweza kutoa uongozi mbadala kwa Taifa!

CHADEMA sasa ni bedroom ya CCM!
Chama cha ACT Wazalendo nacho hakuna kitu kabisa, kwani sasa kinaendesha " SIASA ZA UKE WENZA" ( Soma barua ya ACT Wazalendo iliyosainiwa na Bimani ikilaumu na kukejeli CHADEMA kwa kupokea ruzuku ya milioni 898)!!

Siasa hizi za kijinga jinga hapa Tanzania pengine ndo zinamtatiza Godbless Lema kiasi cha kuchanganyikiwa na kuanza kuropoka ropoka hovyo mithili ya kuku aliyekatwa kichwa ghafla!!

Kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa naomba nimsikilize mwanasiasa JOHN HECHE maana naye huwa ni mtu wa kuropoka ropoka na kushupaza shingo!

Kama Taifa lazima tukae kwa utulivu na kutafakari na kusema wazi kuwa kwa aina hii ya Wanasiasa tulio nao na hasa kwenye Vyama vya Upinzani wenye njaa kali sana vichwani na tumboni basi Taifa hili litachukua miongo mingi sana kupata Chama mbadala wa kuongoza Taifa hili.

Watu wenye akili na maarifa kama Tundu Lissu alikuja juzi hapa kwa mbwembwe kutoka Ubelgiji lakini pengine baada ya "ku- test water kwa ground" na kujua yanayoendelea ndani ya CHADEMA karudi Ubelgiji kimya kimya tena kwa aibu kubwa!

Wanasiasa wa Upinzani Tanzania wana njaa kali sana vichwani na tumboni!
 
Naona unalalamika tu, unaona Chadema wako bedroom ya CCM kisa maridhiano, kama wangekataa maridhiano, bado ungekuja hapa ulalamike tena Chadema hawataki amani, mko vigeugeu wa ajabu ajabu sana.
 
Una matatizo makubwa, hebu toka kwa shemeji yako ujitegemee ndipo utajua uwepesi au ugumu wa maisha.
 
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.

Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima!

Mimi nadhani kwa sasa operesheni kubwa inayohitajika ni ya kuielimisha na kuiamusha CHADEMA kutoka katika usingizi wa pono kwamba kimepoteza uhalali ( credibility ) ya kuwa chama tegemeo cha upinzani chenye kuweza kutoa uongozi mbadala kwa Taifa!

CHADEMA sasa ni bedroom ya CCM!
Chama cha ACT Wazalendo nacho hakuna kitu kabisa, kwani sasa kinaendesha " SIASA ZA UKE WENZA" ( Soma barua ya ACT Wazalendo iliyosainiwa na Bimani ikilaumu na kukejeli CHADEMA kwa kupokea ruzuku ya milioni 898)!!

Siasa hizi za kijinga jinga hapa Tanzania pengine ndo zinamtatiza Godbless Lema kiasi cha kuchanganyikiwa na kuanza kuropoka ropoka hovyo mithili ya kuku aliyekatwa kichwa ghafla!!

Kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa naomba nimsikilize mwanasiasa JOHN HECHE maana naye huwa ni mtu wa kuropoka ropoka na kushupaza shingo!

Kama Taifa lazima tukae kwa utulivu na kutafakari na kusema wazi kuwa kwa aina hii ya Wanasiasa tulio nao na hasa kwenye Vyama vya Upinzani wenye njaa kali sana vichwani na tumboni basi Taifa hili litachukua miongo mingi sana kupata Chama mbadala wa kuongoza Taifa hili.

Watu wenye akili na maarifa kama Tundu Lissu alikuja juzi hapa kwa mbwembwe kutoka Ubelgiji lakini pengine baada ya "ku- test water kwa ground" na kujua yanayoendelea ndani ya CHADEMA karudi Ubelgiji kimya kimya tena kwa aibu kubwa!

Wanasiasa wa Upinzani Tanzania wana njaa kali sana vichwani na tumboni!
mamayenu amelamba asali kesho anapewa kadi kule Moshi wewe kabwela endelea kubweka mitandaon
 
Back
Top Bottom