Operesheni elimisha na amsha CHADEMA Tanzania!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
1,770
Reaction score
5,423
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.

Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima!

Mimi nadhani kwa sasa operesheni kubwa inayohitajika ni ya kuielimisha na kuiamusha CHADEMA kutoka katika usingizi wa pono kwamba kimepoteza uhalali ( credibility ) ya kuwa chama tegemeo cha upinzani chenye kuweza kutoa uongozi mbadala kwa Taifa!

CHADEMA sasa ni bedroom ya CCM!
Chama cha ACT Wazalendo nacho hakuna kitu kabisa, kwani sasa kinaendesha " SIASA ZA UKE WENZA" ( Soma barua ya ACT Wazalendo iliyosainiwa na Bimani ikilaumu na kukejeli CHADEMA kwa kupokea ruzuku ya milioni 898)!!

Siasa hizi za kijinga jinga hapa Tanzania pengine ndo zinamtatiza Godbless Lema kiasi cha kuchanganyikiwa na kuanza kuropoka ropoka hovyo mithili ya kuku aliyekatwa kichwa ghafla!!

Kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa naomba nimsikilize mwanasiasa JOHN HECHE maana naye huwa ni mtu wa kuropoka ropoka na kushupaza shingo!

Kama Taifa lazima tukae kwa utulivu na kutafakari na kusema wazi kuwa kwa aina hii ya Wanasiasa tulio nao na hasa kwenye Vyama vya Upinzani wenye njaa kali sana vichwani na tumboni basi Taifa hili litachukua miongo mingi sana kupata Chama mbadala wa kuongoza Taifa hili.

Watu wenye akili na maarifa kama Tundu Lissu alikuja juzi hapa kwa mbwembwe kutoka Ubelgiji lakini pengine baada ya "ku- test water kwa ground" na kujua yanayoendelea ndani ya CHADEMA karudi Ubelgiji kimya kimya tena kwa aibu kubwa!

Wanasiasa wa Upinzani Tanzania wana njaa sana vichwani na tumboni!
 
Operation sangaraa iliishia wapiii
 
Inasikitisha sana... kazi yao kama wapinzani ya checks & balance kwa serikali iliyoko madarakani imeshawashinda... CHADEMA hata kikipewa nchi leo bado kitabakia kuwa chama cha upinzani. Watakuwa wanafanya upuuzi na kukilaumu CCM.
 
tunafahamu kuwa baadhi ya wafuasi wa Chadema hamfurahishwi na jitihada zinazo fanywa na Mwenyekiti Mh. mbowe za kuleta maridhiano na utengamano wa kisiasa nchini.

Lakini nataka kuwaambia kuwa Mh. Mbowe kadhamiria kufanya siasa za kistaarabu za kuijenga nchi sio siasa za chuki, matusi na uhasama.
nawashauri wafuasi wa Chadema mmbadilike.
 
Huyo atakayewapa nchi ni nani? Chadema ilijichimbia kaburi 2015, Magu akai-starve kwa kuwanyima ulaji, Samia anawamalizia kwa kuwatengea makopo ya asali; mtu aliye kwenye hatari ya kufa kwa njaa usimpe asali. Chadema kwishinei
 
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.

Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima!

Mimi nadhani kwa sasa operesheni kubwa inayohitajika ni ya kuielimisha na kuiamusha CHADEMA kutoka katika usingizi wa pono kwamba kimepoteza uhalali ( credibility ) ya kuwa chama tegemeo cha upinzani chenye kuweza kutoa uongozi mbadala kwa Taifa!

CHADEMA sasa ni bedroom ya CCM!
Chama cha ACT Wazalendo nacho hakuna kitu kabisa, kwani sasa kinaendesha " SIASA ZA UKE WENZA" ( Soma barua ya ACT Wazalendo iliyosainiwa na Bimani ikilaumu na kukejeli CHADEMA kwa kupokea ruzuku ya milioni 898)!!

Siasa hizi za kijinga jinga hapa Tanzania pengine ndo zinamtatiza Godbless Lema kiasi cha kuchanganyikiwa na kuanza kuropoka ropoka hovyo mithili ya kuku aliyekatwa kichwa ghafla!!

Kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa naomba nimsikilize mwanasiasa JOHN HECHE maana naye huwa ni mtu wa kuropoka ropoka na kushupaza shingo!

Kama Taifa lazima tukae kwa utulivu na kutafakari na kusema wazi kuwa kwa aina hii ya Wanasiasa tulio nao na hasa kwenye Vyama vya Upinzani wenye njaa kali sana vichwani na tumboni basi Taifa hili litachukua miongo mingi sana kupata Chama mbadala wa kuongoza Taifa hili.

Watu wenye akili na maarifa kama Tundu Lissu alikuja juzi hapa kwa mbwembwe kutoka Ubelgiji lakini pengine baada ya "ku- test water kwa ground" na kujua yanayoendelea ndani ya CHADEMA karudi Ubelgiji kimya kimya tena kwa aibu kubwa!

Wanasiasa wa Upinzani Tanzania wana njaa sana vichwani na tumboni!
Why CHADEMA tu ndio wewe uje hapa kuijadili ikiwa kweli imepoteza mvuto na agenda?

Kwanini usiweke nguvu zako kuviunga mkono vyama vingine unavyoona wewe vinafaa zaidi ya CHADEMA?
 
Tatizo hakuna hoja za kimsingi ambazo CDM itazitumia, hoja zote kwa asilimia 95 zimeshafanyiwa kazi na CCM, ndio maana mnashuhudia mara ooh bodaboda, mara oh mama ntilie, alimradi UPUUZI MTUPU.
 
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.

Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima!

Mimi nadhani kwa sasa operesheni kubwa inayohitajika ni ya kuielimisha na kuiamusha CHADEMA kutoka katika usingizi wa pono kwamba kimepoteza uhalali ( credibility ) ya kuwa chama tegemeo cha upinzani chenye kuweza kutoa uongozi mbadala kwa Taifa!

CHADEMA sasa ni bedroom ya CCM!
Chama cha ACT Wazalendo nacho hakuna kitu kabisa, kwani sasa kinaendesha " SIASA ZA UKE WENZA" ( Soma barua ya ACT Wazalendo iliyosainiwa na Bimani ikilaumu na kukejeli CHADEMA kwa kupokea ruzuku ya milioni 898)!!

Siasa hizi za kijinga jinga hapa Tanzania pengine ndo zinamtatiza Godbless Lema kiasi cha kuchanganyikiwa na kuanza kuropoka ropoka hovyo mithili ya kuku aliyekatwa kichwa ghafla!!

Kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa naomba nimsikilize mwanasiasa JOHN HECHE maana naye huwa ni mtu wa kuropoka ropoka na kushupaza shingo!

Kama Taifa lazima tukae kwa utulivu na kutafakari na kusema wazi kuwa kwa aina hii ya Wanasiasa tulio nao na hasa kwenye Vyama vya Upinzani wenye njaa kali sana vichwani na tumboni basi Taifa hili litachukua miongo mingi sana kupata Chama mbadala wa kuongoza Taifa hili.

Watu wenye akili na maarifa kama Tundu Lissu alikuja juzi hapa kwa mbwembwe kutoka Ubelgiji lakini pengine baada ya "ku- test water kwa ground" na kujua yanayoendelea ndani ya CHADEMA karudi Ubelgiji kimya kimya tena kwa aibu kubwa!

Wanasiasa wa Upinzani Tanzania wana njaa sana vichwani na tumboni!
CDM kamateni hapo hapo naona CCM wanaweweseka.
 
Hii style waliyokuja nayo CHADEMA itawatesa Sana Madikteta mliosalia. Miaka yote mnawasema CHADEMA hawana shukrani wanapinga Kila kitu, hawawezi kumsifu Rais akifanya vizuri, hawataki maelewano na serikali na vyama vingine. Mwaka 2017 Mbowe na timu yake walimfuata Magufuli wakamwambia Nia Yao ya kukaa pamoja na kutafuta namna Bora ya kuendesha siasa za vyama vingi. Kwa ukaidi akawaponda na 2020 akatumia njia haramu kushinda viti vya Ubunge na udiwani.
Leo CHADEMA baada ya maridhiano ambayo waliyataka Tangu 2017 wanakosoa serikali lakini wanasifia ilipofanya vizuri mfano kwenye demokrasia, Wahafidhina mmeibuka tena mnaona siyo wapinzani tena wamekosa credibility. Hivi mnataka nini labda? Kwa Taarifa yenu Mtu aliyetakiwa kufanya haya anayofanya Samia ni Magufuli maana Kwanza hakuwa na mizizi ndani ya CCM hivyo ingekuwa Bora kwake angeimarisha demokrasia na kuboresha Katiba. Lakini Kwa ushauri wa vichwanazi kama nyie akashupaza shingo yake Hadi mauti yanamkuta.
 
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.

Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima!

Mimi nadhani kwa sasa operesheni kubwa inayohitajika ni ya kuielimisha na kuiamusha CHADEMA kutoka katika usingizi wa pono kwamba kimepoteza uhalali ( credibility ) ya kuwa chama tegemeo cha upinzani chenye kuweza kutoa uongozi mbadala kwa Taifa!

CHADEMA sasa ni bedroom ya CCM!
Chama cha ACT Wazalendo nacho hakuna kitu kabisa, kwani sasa kinaendesha " SIASA ZA UKE WENZA" ( Soma barua ya ACT Wazalendo iliyosainiwa na Bimani ikilaumu na kukejeli CHADEMA kwa kupokea ruzuku ya milioni 898)!!

Siasa hizi za kijinga jinga hapa Tanzania pengine ndo zinamtatiza Godbless Lema kiasi cha kuchanganyikiwa na kuanza kuropoka ropoka hovyo mithili ya kuku aliyekatwa kichwa ghafla!!

Kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa naomba nimsikilize mwanasiasa JOHN HECHE maana naye huwa ni mtu wa kuropoka ropoka na kushupaza shingo!

Kama Taifa lazima tukae kwa utulivu na kutafakari na kusema wazi kuwa kwa aina hii ya Wanasiasa tulio nao na hasa kwenye Vyama vya Upinzani wenye njaa kali sana vichwani na tumboni basi Taifa hili litachukua miongo mingi sana kupata Chama mbadala wa kuongoza Taifa hili.

Watu wenye akili na maarifa kama Tundu Lissu alikuja juzi hapa kwa mbwembwe kutoka Ubelgiji lakini pengine baada ya "ku- test water kwa ground" na kujua yanayoendelea ndani ya CHADEMA karudi Ubelgiji kimya kimya tena kwa aibu kubwa!

Wanasiasa wa Upinzani Tanzania wana njaa sana vichwani na tumboni!
Chadema ni sehemu ya watanzania na huo udhaifu ni wa sehemu ya watanzania
Kwa hiyo shida haiko chadema au upinzani bali kwa watanzania walio wengi wakiwemo ccm.
Tunata tuondokane na kulaumiana na kulaumu vyama kwa kujiwekea utarati wa kikatiba na kisheria ambao tutapaswa kuufuata na kuwajibika tunaposhindwa kuufuta.
 
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.

Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima!

Mimi nadhani kwa sasa operesheni kubwa inayohitajika ni ya kuielimisha na kuiamusha CHADEMA kutoka katika usingizi wa pono kwamba kimepoteza uhalali ( credibility ) ya kuwa chama tegemeo cha upinzani chenye kuweza kutoa uongozi mbadala kwa Taifa!

CHADEMA sasa ni bedroom ya CCM!
Chama cha ACT Wazalendo nacho hakuna kitu kabisa, kwani sasa kinaendesha " SIASA ZA UKE WENZA" ( Soma barua ya ACT Wazalendo iliyosainiwa na Bimani ikilaumu na kukejeli CHADEMA kwa kupokea ruzuku ya milioni 898)!!

Siasa hizi za kijinga jinga hapa Tanzania pengine ndo zinamtatiza Godbless Lema kiasi cha kuchanganyikiwa na kuanza kuropoka ropoka hovyo mithili ya kuku aliyekatwa kichwa ghafla!!

Kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa naomba nimsikilize mwanasiasa JOHN HECHE maana naye huwa ni mtu wa kuropoka ropoka na kushupaza shingo!

Kama Taifa lazima tukae kwa utulivu na kutafakari na kusema wazi kuwa kwa aina hii ya Wanasiasa tulio nao na hasa kwenye Vyama vya Upinzani wenye njaa kali sana vichwani na tumboni basi Taifa hili litachukua miongo mingi sana kupata Chama mbadala wa kuongoza Taifa hili.

Watu wenye akili na maarifa kama Tundu Lissu alikuja juzi hapa kwa mbwembwe kutoka Ubelgiji lakini pengine baada ya "ku- test water kwa ground" na kujua yanayoendelea ndani ya CHADEMA karudi Ubelgiji kimya kimya tena kwa aibu kubwa!

Wanasiasa wa Upinzani Tanzania wana njaa sana vichwani na tumboni!
Sukuma Gang wote mumeshakuwa vichaa mnatujazia server bure kwa mabandiko yenu ya kitaahira.
 
tunafahamu kuwa baadhi ya wafuasi wa Chadema hamfurahishwi na jitihada zinazo fanywa na Mwenyekiti Mh. mbowe za kuleta maridhiano na utengamano wa kisiasa nchini.

Lakini nataka kuwaambia kuwa Mh. Mbowe kadhamiria kufanya siasa za kistaarabu za kuijenga nchi sio siasa za chuki, matusi na uhasama.
nawashauri wafuasi wa Chadema mmbadilike.
Wanaokerwa na siasa za maridhiano ni Sukuma Gang wengine wanajivika uchadema lakini ni Sukuma Gang mfano ni yule mjinga anayejiita Kamanda aliyechoka.
 
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.

Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima!

Mimi nadhani kwa sasa operesheni kubwa inayohitajika ni ya kuielimisha na kuiamusha CHADEMA kutoka katika usingizi wa pono kwamba kimepoteza uhalali ( credibility ) ya kuwa chama tegemeo cha upinzani chenye kuweza kutoa uongozi mbadala kwa Taifa!

CHADEMA sasa ni bedroom ya CCM!
Chama cha ACT Wazalendo nacho hakuna kitu kabisa, kwani sasa kinaendesha " SIASA ZA UKE WENZA" ( Soma barua ya ACT Wazalendo iliyosainiwa na Bimani ikilaumu na kukejeli CHADEMA kwa kupokea ruzuku ya milioni 898)!!

Siasa hizi za kijinga jinga hapa Tanzania pengine ndo zinamtatiza Godbless Lema kiasi cha kuchanganyikiwa na kuanza kuropoka ropoka hovyo mithili ya kuku aliyekatwa kichwa ghafla!!

Kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa naomba nimsikilize mwanasiasa JOHN HECHE maana naye huwa ni mtu wa kuropoka ropoka na kushupaza shingo!

Kama Taifa lazima tukae kwa utulivu na kutafakari na kusema wazi kuwa kwa aina hii ya Wanasiasa tulio nao na hasa kwenye Vyama vya Upinzani wenye njaa kali sana vichwani na tumboni basi Taifa hili litachukua miongo mingi sana kupata Chama mbadala wa kuongoza Taifa hili.

Watu wenye akili na maarifa kama Tundu Lissu alikuja juzi hapa kwa mbwembwe kutoka Ubelgiji lakini pengine baada ya "ku- test water kwa ground" na kujua yanayoendelea ndani ya CHADEMA karudi Ubelgiji kimya kimya tena kwa aibu kubwa!

Wanasiasa wa Upinzani Tanzania wana njaa sana vichwani na tumboni!
Hamna kingine cha maana cha kuandika humu? Chadema imekuwa ni wimbo wa taifa. Hata hivyo si mlisema chadema ishajifia?
 
Back
Top Bottom