Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
OPERATION HAKI NA WAKATI HAMJATUPA MREJESHO WA MAPATO NA MATUMIZI WA SADAKA TULIZOTOZWA KWENYE ZILE NDOO NYEUPE KIPINDI CHA KAMPENI 2020.Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama , nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020 , alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno .
Hebu jionee mwenyewe
View attachment 1822454
una umri gani ?OPERATION HAKI NA WAKATI HAMJATUPA MREJESHO WA MAPATO NA MATUMIZI WA SADAKA TULIZOTOZWA KWENYE ZILE NDOO NYEUPE KIPINDI CHA KAMPENI 2020.
Leo itakuwa balaa huko mtama.Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno.
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1822454
Hapa ndipo Nape alipita bila kupingwa kwa mizinga ya magufuli?Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno.
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1822454
Pole sana labda nikukumbushe tena, yasiokuhusu yaache. Kwani zamu yako ya kwenda kufagia malaloni ni lini?OPERATION HAKI NA WAKATI HAMJATUPA MREJESHO WA MAPATO NA MATUMIZI WA SADAKA TULIZOTOZWA KWENYE ZILE NDOO NYEUPE KIPINDI CHA KAMPENI 2020.
Hata kule kwa mpiga fito NADHANI itakuwa hivyohivyo, ndo maana huko Bungeni Spika mzima anashinda anaweweseka na kukodi wa kuweweseka nae kila siku.Hapa ndipo Nape alipita bila kupingwa kwa mizinga ya magufuli?
Ndiyo maana jamaa hawataki tume huru ya uchaguziHapa ndipo Nape alipita bila kupingwa kwa mizinga ya magufuli?
Pole sana labda nikukumbushe tena, yasiokuhusu yaache. Kwani zamu yako ya kwenda kufagia malaloni ni lini?
mbona zikitajwa michango mnakuwa wakali makamanda!!!una umri gani ?
Lini zamu yako kwenda kumwagilia maua malaloni? Imo kwenye ilani yenu uk 20........mbona zikitajwa michango mnakuwa wakali makamanda!!!
Asante sana mkuu
unaweza kumuita Mtemi IsikeMbowe hua ananifikirisha sana ,nyerere ndomtu nambamoja kuruhusu anunue gari na atumie mana ilikua inakataliwa sana
Kwa kweli hali ni tete kwa Nape.. chini ya tume huru wanaompenda wamshauri akatafute jimbo jingine tu kwa kweli!Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno.
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1822454
Hakuna aliye tayari kujichimbia kaburi lake mwenyeweNdiyo maana jamaa hawataki tume huru ya uchaguzi
Si wameleta maendeleo ya kutisha!Hakuna aliye tayari kujichimbia kaburi lake mwenyewe