Niko Ruangwa, ratiba ya mwamba inasemaje. Atafika huku?Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno.
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1822642View attachment 1822642
View attachment 1822454
Ruangwa kishapitaNiko Ruangwa, ratiba ya mwamba inasemaje. Atafika huku?
Pole sana labda nikukumbushe tena, yasiokuhusu yaache. Kwani zamu yako ya kwenda kufagia malaloni ni lini?
Sasa mmeruhusiwa kufanya siasa , kwa hilo toeni pongezi
Ukiwakuta wana CCM kikundi wanajadili jambo, we shout " Tume huru hiyooo, tume huru hiyoo" watatoka nduki hao balaa..kila mmoja njia yake.Ndiyo maana jamaa hawataki tume huru ya uchaguzi
Hatari na nusuUkiwakuta wana CCM kikundi wanajadili jambo, we shout " Tume huru hiyooo, tume huru hiyoo" watatoka nduki hao balaa..kila mmoja njia yake.
wapo watu kule wanamwagilia na wanalipwa pesa,unataka ajira hiyo,au umetosheka na kudumisha fikra za mwenyekiti.Lini zamu yako kwenda kumwagilia maua malaloni? Imo kwenye ilani yenu uk 20........
una umri gani ?
TULETEENI MREJESHO. WALA MSIPOTEZEEE. TUTAWABANA HADI KIELEWEKEEPole sana labda nikukumbushe tena, yasiokuhusu yaache. Kwani zamu yako ya kwenda kufagia malaloni ni lini?
Karibu tenaTULETEENI MREJESHO. WALA MSIPOTEZEEE. TUTAWABANA HADI KIELEWEKEE
Hatuibiwii tenaaKaribu tena
Mkuu unatafuta matusi sasa!OPERATION HAKI NA WAKATI HAMJATUPA MREJESHO WA MAPATO NA MATUMIZI WA SADAKA TULIZOTOZWA KWENYE ZILE NDOO NYEUPE KIPINDI CHA KAMPENI 2020.
Sawa tuuu. Kama matusi ndio majibu karibuni tuyasikieMkuu unatafuta matusi sasa!
Mbowe lazima aogopwe