Ni kawaida kuona usalama wa nchi ukichukuliwa kisiasa zaidi, badala ya kuwa makini, na endelevu.
Tulijionea raia wa Malawi na Rwanda waki "rasimishwa" baada ya sintofahamu na Joyce Banda na Paul Kagame. Ila naona hili halijafanyika ipasavyo. Ninachofahamu ni kuwa kuna wingu kubwa la raia wa Rwanda wakitumia uraia wa Uganda hasa baada ya misimamo ya Kagame katika medani za kimataifa kuwa na changamoto.
Hili halijazingatiwa maofisini, hasa kwa wageni wote wenye asili ya Africa.
Wana JF, kuna mfano mkubwa kuwa kuna mwanamama anayefanya kazi kama mkurugenzi wa ugavi na usambazaji (Supply Chain) katika kiwanda cha Saruji Mbeya, akijiita kuwa anatokea Ruwenzori Uganda, ilhali kuna wingu kubwa la uhalali wake katika hiyo nchi.
Kuna mfanyakazi aliwahi kufika kwa mapumziko nchini humo, alishtushwa kusalimiwa na anayeaminika kuwa ni Kaka au Mume wa Mama huyo. Alipozifikisha taarifa hizi rasilimali watu, aidha wakazitupilia mbali, au wakazichukulia kama ni uzushi.
Mbaya zaidi ukienda nchini Rwanda, unakutana na wanafamilia ndugu zake, na kwa kuwa nchi yenyewe ni ndogo ka Dar es Salam yetu ukitimba tu.
Je nchi hii ina usalama?