Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
True bro alaf hizi taarifa kuwa Putin ajafikia malengo yake kazitoa nani kasema mwenyewe Putin au wasemaji wake binafsi wa kujitolea.Asidharauliwe bado ana nguvu na akianguka Putin kishindo chake kitakuwa kikubwa
Kwenye vita kuna propaganda nyingi sana. Always kinachoonekana kwenye media ni tofauti kabisa na uhalisiaTrue bro alaf hizi taarifa kuwa Putin ajafikia malengo yake kazitoa nani kasema mwenyewe Putin
au wasemaji wake binafsi wa kujitolea
nakubalina na wewe per 100% putin hata siku moja hawez kusema kashindwa wala kusema mipang yake hadharani.Kwenye vita kuna propaganda nyingi sana... Always kinachoonekana kwenye media ni tofauti kabisa na uhalisia
Najua ulishawahi kutega ndege na ulimbo ? Kama ulishawahi ni vile umekaa pembeni alafu kuna kile kindege kina mkia mrefu kinakuja kurukaruka juu ya tawi la mti lenye ulimbo alafu kenyewe hakatui, ila kubwa jinga njiwa anakuja analikalia paap tayari hizo mbio za kwenda kumchukua ni kama ndugu yangu Alphonce Simbu yupo Ollimpic 🇯🇵.Asidharauliwe bado ana nguvu na akianguka Putin kishindo chake kitakuwa kikubwa
Unaweza kuta anaesema hivyo mpaka Sasa anakula kwa mama yake bira kutoa msaada wowote hapo home, hajayajua malengo ya huyo anaemzungumzia lakin anasema malengo yake hayajatimia ukiimuuliza yapi hayo malengo yake anayoyajua yeye hayataji.True bro alaf hizi taarifa kuwa Putin ajafikia malengo yake kazitoa nani kasema mwenyewe Putin
au wasemaji wake binafsi wa kujitolea
Unapoweka uzi wenye kualika thinkers jitahidi kuweka hata some sources za taarifa ama findings zako.Operesheni maalum" ya Putin haijaenda kulingana na mpango. Kile kilichopaswa kuchukua siku au wiki kadhaa tayari imechukua miezi kadhaa. Kremlin inaonekana kabisa haikuchukulia upinzani wa Ukraine kwa uzito mkubwa. Magharibi kuunga mkono Kyiv na wimbi la vikwazo vya kimataifa ambavyo Urusi ingekabiliana nayo. Kaputin ameingia choo cha kike , Achana na Nchi za Magharibi wanachheza na akili za Kaputini . Wana akili sana hao wajamaa .
Wajanja wanamcheck kwenye bainokola[emoji16][emoji16]Najua ulishawahi kutega ndege na ulimbo ? Kama ulishawahi ni vile umekaa pembeni alafu kuna kile kindege kina mkia mrefu kinakuja kurukaruka juu ya tawi la mti lenye ulimbo alafu kenyewe hakatui, ila kubwa jinga njiwa anakuja analikalia paap tayari hizo mbio za kwenda kumchukua ni kama ndugu yangu Alphonce Simbu yupo Ollimpic [emoji627].
Ukweli ni kwamba mpaka sasa Russia anaona kabisaa maji alioyaendea hayanyweki, na tayari yupo kwenye tawi la ulimbo na anaogopa kuruka maana kosa la kuruka ni kutaka na mbawa zinaswe hapo ndipo mtegaji atakuja speed ya gari yako pendwa BMW 5MI ikishika lami ya Mkiwa ikiitafuta Isuna kuelekea Singida mjini.
Russia now inabidi tu ili amchanganye mtegaji ni atulie kwanza hivyo hivyo kavita kidogo huku akiwa makini kujua namna ya kunyanyua mguu kwenye tawi lenye ulimbo ila akikurupuka tu tayari na mbawa zitadakwa na hapo ndio atajua kwanini wimbo wa Taifa letu haujarekodiwa video wakati serikali ina uwezo wa kurusha helicopter kutuonyesha matokeo ya Sensa.
Tena sana 😢 atakachokutana nacho atatamani kukimbia ila hataweza tena.Wajanja wanamcheck kwenye bainokola[emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unafikaga huku?nimezoea kukuona kuleeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asidharauliwe bado ana nguvu na akianguka Putin kishindo chake kitakuwa kikubwa.
Ila huwezi ona BBC wakireport watu wa Ukraine ambao wamechagua kuwa chini ya Russia!
Kishindo chake kitakuwa kikubwa ndani ya Urusi kwa sababu ya kukosekana kwa checks and balances katika utawala wa nchi. Taasisi za kiutawala na mihimili yote ya kiserikali iko chini ya udhibiti wa rais ama the Kremlin katika kufanya maamuzi.Asidharauliwe bado ana nguvu na akianguka Putin kishindo chake kitakuwa kikubwa.
Russia haipogani vita mkuu NI operation ya kusafisha kidonda bado surgery yenyewe mkuuKwani ni operesheni ama ni vita?