Tetesi: Operesheni nyakua nyakua pikipiki

namba force

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
758
Reaction score
434
Rejeeni mada tajwa hapo juu.Wiki iliyokwisha nilimsikia afisa usalama mmoja wa barabarani akidai kuwa sasa wanakuja na operation tajwa hapo juu.

Swali langu kwa wadau je, operation hiyo itahusika na vitu gani? Pili, itawahusu watu gani waendesha bodaboda au hata wasio bodaboda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kawaida yao wameamua kukurupuka na Helmet, Driving licence, Bima, Sticker ya Halmashauri, Sumatra, TRA, Safety boot, Indicator/Brake, Honi, Ulevi,seat belt mpaka wepa, wakati Mr Mpinga alibuni kitu laini kabisa kwa waendesaha pikipiki ya "Demerit point system" na ambayo ingeambatana na Streat camera / traffic soldier ambapo bodaboda akifanya kosa basi inarekodiwa namba ya pikipiki na mwenye kpkpk chake anatumiwa message ili alipe au atakutana na faini atakapoenda kulipa TRA or else, kwa kifupi alitaka kazi hiyo ifanyike kitaalamu zaidi na iwe na evidence ambayo mtu itakuwa vigumu kuruka kimanga, leo wanataka kukurupuka kuanzisha purukushani na bodaboda wakiwa wamesahau kabisa kuwa hata mswaada wa usafiri wa bodaboda Bungeni 2009 ulipitishwa kisiasa zaidi kwani walionekana kuwa hawafai nani sheeda tupu ktk jamii lakini wao wakajenga hoja kuwa hiyo ni ajira kwa vijana (kweli) na upande wa pili ni wapiga kura wao ..sasa hapo Afande Musilimu achague kuchapa kazi au ajitathimini
 
Hapo nimeanza kufunguka

Back
Top Bottom