Kama kawaida yao wameamua kukurupuka na Helmet, Driving licence, Bima, Sticker ya Halmashauri, Sumatra, TRA, Safety boot, Indicator/Brake, Honi, Ulevi,seat belt mpaka wepa, wakati Mr Mpinga alibuni kitu laini kabisa kwa waendesaha pikipiki ya "Demerit point system" na ambayo ingeambatana na Streat camera / traffic soldier ambapo bodaboda akifanya kosa basi inarekodiwa namba ya pikipiki na mwenye kpkpk chake anatumiwa message ili alipe au atakutana na faini atakapoenda kulipa TRA or else, kwa kifupi alitaka kazi hiyo ifanyike kitaalamu zaidi na iwe na evidence ambayo mtu itakuwa vigumu kuruka kimanga, leo wanataka kukurupuka kuanzisha purukushani na bodaboda wakiwa wamesahau kabisa kuwa hata mswaada wa usafiri wa bodaboda Bungeni 2009 ulipitishwa kisiasa zaidi kwani walionekana kuwa hawafai nani sheeda tupu ktk jamii lakini wao wakajenga hoja kuwa hiyo ni ajira kwa vijana (kweli) na upande wa pili ni wapiga kura wao ..sasa hapo Afande Musilimu achague kuchapa kazi au ajitathimini