Dume Jembe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 707
- 774
Mpaka irudi Tanganyika hii Tanzania ni inchi ya utumwaHii ni Operesheni ya kuliokoa Taifa dhidi ya Wanasiasa ambao siku zote kazi yao ni kuwaza mambo kwa maslahi yao na familia zao.
Hii ni operesheni ya kuokoa rasilimali za Taifa ambazo zinagawiwa kwa wageni kwa mikataba isiyo na faida kwa Wananchi. Huku wachache wakijinufaisha binafsi na wananchi wengi wakibaki kwenye umasikini wa kutisha unaowafanya wakose huduma bora za msingi. (Elimu, Matibabu, Maji safi na salama, Miundombinu bora ya barabara pamoja na Umeme wa Uhakika)
Hii ni Operesheni na kuhakikisha utajiri wa Taifa unawanufaisha Watanzania wote na vizazi vyao na sio kikundi cha watu wachache waliojipa umuhimu kutokana na uwepo wa Katiba Mbovu inayowaweka Wanasiasa juu ya mifumo.
Hii ni operesheni ya kuangamiza mizizi ya rushwa iliyolifanya Taifa li collapse kwa muda mrefu sana.
Hii ni operesheni ambayo target yake ni kuipatia Nchi Katiba bora inayoipa nguvu mifumo dhidi wa Wanasiasa. Inayoweka nguvu kwa Wataalam na Utaalam wala sio siasa.
Mwisho hii ni Operesheni ya kuhakikisha tunakuwa na Taifa imara lenye maendeleo ya kweli kwa watu wake na sio linalotawaliwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi binafsi wanaoamua kipi kiwe na kipi kisiwe. Nani awe na nani asiwe.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu wabariki Meno na JW.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Tutafika tuNatamani iwe kweli kabisa
Yanaenda kuisha hayaMpaka irudi Tanganyika hii Tanzania ni inchi ya utumwa
Ukombozi unahitaji action sio maombi.........Tuzidishe maombi nchi ipate ukombozi wa kweli
Imani na vitendoUkombozi unahitaji action sio maombi.........
Asanteni sana JWTZHii ni Operesheni ya kuliokoa Taifa dhidi ya Wanasiasa ambao siku zote kazi yao ni kuwaza mambo kwa maslahi yao na familia zao.