JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
OPERESHENI ONDOA WAVAMIZI KATIKA BONDE LA WAMI/RUVU imeanza ambapo Wafugaji wanaodaiwa kuwa ni wavamizi wamekutwa na ng’ombe zaidi ya 400 kwa siku ya leo tarehe 14-10-2022.
Wameondolewa katika Kijiji cha MSONGE ambapo waliweka KAMBI, pembezoni mwa Mto Ruvu. Askari kadhaa wakiwa na silaha za moto walikuwa wakishiriki katika zoezi hilo la kukusanya kifugo zaidi wakiwa ni ng'ombe na kuwalekeza katika vituo ambavyo kulikuwa na askari na ulinzi zaidi.
Chanzo: JAMVI LA HABARI