Operesheni safisha wanigeria nchini

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,472
HAWA JAMAA MAREKANI WANAWAOGOPA SANA kwasababu walishawaliza sana kwenye mitandao na kuwaibia mapesa sana kwenye mabank. sasa wamejaa mitaani sasaivi, uliza bodaboda yeyote akupeleke kwa mnigeria wanafahamika. wamepanga majumbani, hawafanyi kazi yeyote, wakifika wanajishikiza kwa kuoa dada zetu wakisubiri kupiga dili, wanaiba pesa ATM, ni matapeli balaa

MAENEO YA MIKOCHENI HUKU TUNAKOKAA WAMEJAA, hata kama nyumba nyingi ni geti kali lakini unawagundua tu, wanaweza kupanga nyumba nzima halafu wanaishi kama watano hivi hata kumi.

kimara nao nilimtembelea dadangu, nimewakuta wamepanga nyumba kimara. waendesha pikipiki ukiwauliza nyumba ya mnigeria iko wapi wanakupeleka, polisi mko wapi?

ajabu yake sasa, wengi wanakaa tu ndani. swali nililojiuliza ni je, isijekuwa kwenye hayo majumba wanayopanga wanafanya dili za UNGA,

au pengine wanafanya dili za kitapeli kutumia mitandao ya simu na computer (cyber crimes).

je? wanazo permit kuishi bongo? kwa kazi gani? na ajabu yake kwa bahati mbaya yao kiswahili hawajakijua vizuri hivyo ni rahisi kuwatambua.

SERIKALI INAFANYA NINI? MBONA HAWA JAMAA NI WAUZA UNGA?

MBONA HAWA JAMAA NDIO WANAO HACK MITANDAO YA SIMU NA KUIBIA WATU MPESA, TIGOPESA ETC?

MBONA HAWA NDIO WEZI WA ATM HADI MAREKANI WANAWAFAHAMU?

immigration, where are you?
 
hata maeneo ya tbt kwa bro wangu niliwaona.
 

huku kwetu mitaa ya sinza lion wamechukua baa mojawapo iliyofungwa wamageuza kanisa yaani ni makelele balaa siku ya jumapili.ukiwaona wamekaa kitapelitapeli sijui hata hao waumini wanawapataje
 
Nenda kariakoo shule ya uhuru tafuta spare yeyote ya laptop... Ulizia kwa mnigeria fastaaa
 
Mkuu huyo wa kanisa la Lion alikwa na kanisa princeshall wakashikwa kwa skendal ya kuuza madini fake na ndipo akapewa notice ya kuhama maana alikua anachafua reputation ya eneo. Lakini pia serikali ya mtaa pamoja na ofisa maendeleo walishampatia barua ya kuondoka maana hana kibali cha kuendesha kanisa hivyo hilo kanisa ni batili.

Tunaomba serikali za mitaa zilizochaguliwa kulishughulikia hilo hasa hilo la hapo sinza mimi nipo tayari kutoa ushirikiano kwa wahusika wote.
 
katoe taarifa polis,si kulalamika tu umu inakuwa haisaidii
 

Ni kweli mkuu hawa jamaa wanapaswa kudhibitiwa mapaema tukizubaa ndugu zetu watazidi kulizwa hapa mjini...maisha yenyewe magumu sana siku hizi
 
katoe taarifa polis,si kulalamika tu umu inakuwa haisaidii
mbona umechukia sana dada, au ndio wameshakuoa. manake wakifika hapa cha kwanza wanatafuta mdada wa kibongo wa kusuuzia rungu.
 
mbona umechukia sana dada, au ndio wameshakuoa. manake wakifika hapa cha kwanza wanatafuta mdada wa kibongo wa kusuuzia rungu.

wewe kweli kilaza,nimechukia nini? nimekwambia katoe taarifa polisi sio kuja kulalamika haitosaidia kitu,ukitoa taarifa polis au kwenye ofis za kampuni ya simu utaokoa wengi si kila mtu anaingia umu,acha udwanzi
 
wewe kweli kilaza,nimechukia nini? nimekwambia katoe taarifa polisi sio kuja kulalamika haitosaidia kitu,ukitoa taarifa polis au kwenye ofis za kampuni ya simu utaokoa wengi si kila mtu anaingia umu,acha udwanzi
sasa dadangu, haujui kuwa humu JF polisi pia wapo, usalama wa taifa wapo, polisi jamii wapo? kutoa taarifa humu ni bora mara mia kuliko kwenda polisi ambako wanaweza kukusumbua tu. au wewe mgeni na tz nini binti? au wewe una dili nao, manake wakiwa hapa bongo wanakuwa na mwenyeji wao wa kuwafanyia dili za unga kila mwezi wanasafiri kwenda nijeria na kurudi. kama ndio wamekuoa jua umeolewa na muuza unga au mwizi wa mtandao.
 

sawa bibi yangu nimekuelewa
 

UPUMBAVU! Afrika ni moja! Waafrika wote wanakaribishwa Tanzania na wewe pia hujakatazwa kwenda huko nje!
Lakini kama ni kupunguza watu naomba tuwapunguze wakenya......wameja aisee!
 
huku kwetu mitaa ya sinza lion wamechukua baa mojawapo iliyofungwa wamageuza kanisa yaani ni makelele balaa siku ya jumapili.ukiwaona wamekaa kitapelitapeli sijui hata hao waumini wanawapataje

Mkuu hawa jamaa ni wajanja sana wameingia kwa gia ya dini kumbe wanamambo yao ya unga na cyber crimes.
Ukikuta Ijumaa watu walivojaa katika kanisa lao ni balaa !

Na hilo kanisa zamani ndo ilikuwa Vatican hotel sasa hivi imebaki magofu na jamaa sijui wamekodi hapo ni kelele mtindo mmoja !

Watoto wa marehemu mzee Ndanshau mmeingia ubia na hawa watu ? mbona jumba lenu linatumika ?
 
wewe kweli kilaza,nimechukia nini? nimekwambia katoe taarifa polisi sio kuja kulalamika haitosaidia kitu,ukitoa taarifa polis au kwenye ofis za kampuni ya simu utaokoa wengi si kila mtu anaingia umu,acha udwanzi

Wewe Ni Dada Kweli? Au Masihala Haya
 
hawa watu si wa kujenga nao hata urafiki, watakutumia kwa faida yao tu. wakifanikiwa watakudharau na kukuona wewe mjinga. kisha kama ni ishu ya hatari watasepa wewe utakamatwa na ukiangalia hukupata chochote! watanzania kuweni makini.

Invisible habari na hoja inahusika hii.
 
Last edited by a moderator:


Acha UJINGA na CHUKI za kibinafsi wewe!
Una ushahidi kama hao Wanigeria Wanauza Unga?
Mbona haulalamikii Wazungu, Wahindi, Wachina, Waarabu waliojazana hapa Bongo na wanafanya Ulanguzi kuanzia kuwepa kodi mpaka kuuza meno ya Tembo?
Wanigeria ni wenzetu na ni ndugu zetu Waafrika wenzetu hivyo wana haki ya kuishi nchini mwetu bila kubughudhiwa na kama kuna Mnigeria mmoja anauza Unga basi ahukumiwe kama yeye na au Mtz mwingine yoyote yule anayeuza Unga na Wanigeria wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…