Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,472 Jan 29, 2015 Thread starter #41 wanahonga sana hao, ukiwaonyesha polisi kina kuwa kichaka cha kwenda kukusanya hela kila mwezi. na wakiamua kuwakamata wanawakamua hela ndefu ndio wanawakamata.
wanahonga sana hao, ukiwaonyesha polisi kina kuwa kichaka cha kwenda kukusanya hela kila mwezi. na wakiamua kuwakamata wanawakamua hela ndefu ndio wanawakamata.