Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
siasa haihitaji uchawi...Atalogwa huko,hamjui mzee mwenyewe....
siasa haihitaji uchawi...
we umejuaje kama ni mchawi? alikuroga nini?mwambie Katibu wako anayeamini hayo....
waambie hao...Slaa ni ngoma ndogo sana kwa Makamba...
Slaa ni ngoma ndogo sana kwa Makamba...
aisee operation sangara hadi kwa makamba!
Wana JF
Kwa habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Operesheni Sangara ya CHADEMA iko Lushoto tangu jana na Dk Slaa atakuwa katika kata kadhaa za wilya ya Lushoto ikiwemo katika kijiji cha Makamba Tamota.Kwa ninavyowajua hawa wawili wote wakiwa ni Makatibu wakuu wa vyama vikubwa nchini.I can imagine Slaa atakavyomshughulikia Makamba.I wish kama ningekuwepo kwenye mkutano huo nimsiklize Live Dk Slaa.Ni mchana huu atakuwa kijijini hapo.Tusubiri tupate yatakayojiri huko,nitawahabarisha.
Sioni kama Slaa atakuwa na jipya la kuwaeleza wana Tanga.
Habari nilizozipata ni kuwa Abdallah Kigoda maelalamika sana baada ya Sangara kuingia jimboni kwake.Alikuwa akihaha na kupita pita na gari yake na kuwatuma vijana wake kufuatilia misafara ya CHADEMA kila walipokuwepo. Asiee CHADEMA ni kiboko
Sasa anaogopa nini wakati yeye yuko nambari One!Habari nilizozipata ni kuwa Abdallah Kigoda maelalamika sana baada ya Sangara kuingia jimboni kwake.Alikuwa akihaha na kupita pita na gari yake na kuwatuma vijana wake kufuatilia misafara ya CHADEMA kila walipokuwepo. Asiee CHADEMA ni kiboko