sijakuelewa wewe jamaa unataka nini!! kwanza umekosea spelling; inaandikwa hivi "ophthalmology" na iyo ingine tena hii hapa "malaria". Kwa kukosea huko tu ushanitia wasiwasi juu ya uwezo wako!! Halafu unaulizia eti baadae unaweza kujiendeleza... aaarrggghh!!! Hivi unajua ni baada ya kusoma medicine for 5 years then ndio unaspecialize kwenye hizo surgery, opthalmology, obs amd gyne, radiology, dental, pediatric na nyinginezo for 4 years!!?? sasa baadae ya kujiendeleza ulokua unaiongelea ni baadae gani wakati hapo ndo huwa watu tunaspecialize!! Halafu unaulizia wagonjwa tena kwenye surgery dept.??? You don't have medical personality.... Mimi nakushauri ukawe mwalimu tu