Elections 2010 Opinion Poll Zamuonyesha Njia ya Kutokea Kikwete

Agree; tafiti za mwaka huu zimeonyesha njia; muda si mrefu atashindwa kupiga hata kampeni maana kila sehemu atakuwa anazomewa kwa kukosa hoja
 
sema tuongeze tu juhudi za kuwahakikishia watu wa vijijni, kwamba kura ni siri na wasitukuze ufisadi au mafisadi, kumpigia kura fisadi ni kubariki ufisadi, wala hawaji saidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…