Duniani kote hakunaga Incumbent President anayependa kuwa one-term President. Hope Election Commission imejipanga vyema kuhakikisha Mshindi halali ndio anatangazwa. Hope Commission hiyo ni independent enough
Sasa opinion polls za uchaguzi wa 2007 na uchaguzi wa mwaka huu zinahusiana kivipi? Huoni hadi jina la Kibaki hapo? Kweli elimu ya St. Kayumba ni sheeda!