Hi,
Ndugu wasomaji wote.
Tunaposema mambo ya udini,wale wanao kuwa wanataka kubadilishana vituo ili warudi kwao huwa wanataka nini?
Walimu walio wengi huomba kurudi kwao ili mwisho wa siku walimu wote wawe kwenye wilaya zao.Kweli hapo kuna ute4ndaji kazi?Ukiwa katika wilaya zingine lazima upige kazi kwa kujituma kwasababu hakuna kukenuliana.Ukiwa kwenu lazimaq tutalindana.Kuna kazi hapo?Hawa Ghasia chukua hatua.