Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,162 Reaction score 2,616 Jun 8, 2020 #1 Heshima kwenu wakuu, Natumai mpo vyema kabisa simu tajwa hapo juu ipo sokoni na ipo vizuri kabisa haina tatizo lolote. Internal memory 64 GB Ram 4 GB Simu ipo Tabata, bei 230,000/-. Karibuni.
Heshima kwenu wakuu, Natumai mpo vyema kabisa simu tajwa hapo juu ipo sokoni na ipo vizuri kabisa haina tatizo lolote. Internal memory 64 GB Ram 4 GB Simu ipo Tabata, bei 230,000/-. Karibuni.
D DJ Imma JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 221 Reaction score 100 Jun 8, 2020 #2 Kwanini unauzaa? punguza bei tufanye biashara na unihakikishie sio ya wizii
Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,162 Reaction score 2,616 Jun 8, 2020 Thread starter #3 DJ Imma said: Kwanini unauzaa? punguza bei tufanye biashara na unihakikishie sio ya wizii Click to expand... Imepatikana shida ya pesa kiongozi. Na wala sio ya wizi kaka...! Offer yako ni ngapi mkuu...?
DJ Imma said: Kwanini unauzaa? punguza bei tufanye biashara na unihakikishie sio ya wizii Click to expand... Imepatikana shida ya pesa kiongozi. Na wala sio ya wizi kaka...! Offer yako ni ngapi mkuu...?